Anna Tibaijuka

Prof. Anna Tibaijuka ni mwanasiasa wa Tanzania na afisa wa zamani wa Umoja wa Mataifa.